Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Minziro atua Tanzania Prisons

Minziro Prisonsss Minziro atua Tanzania Prisons

Thu, 13 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha wa Geita Gold, Fred Felix ‘Minziro’ amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuwatumikia maafande wa Jeshi la Magereza Tanzania Prisons.

Aliyekuwa kocha wa Geita Gold, Fred Felix ‘Minziro’ amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuwatumikia maafande wa Jeshi la Magereza Tanzania Prisons. Mkataba huo umesainiwa kwenye ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza yaliyopo Msalato Dodoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: