Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Minziro apewa uhakika Kagera Sugar

Minziro Kagera S Kocha Fred Felix Minziro

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Klabu ya Kagera Sugar umeendelea kumuamini Kocha Fred Felix Minziro kwa msimu mwingine mmoja,

Uongozi wa Klabu ya Kagera Sugar umeendelea kumuamini Kocha Fred Felix Minziro kwa msimu mwingine mmoja, Makubaliano ya Kuongeza Mkataba huo yameshafikiwa na tayari ripoti yake ya Usajili Imeshaanza kufanyiwa kazi kuelekea Msimu Ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live