Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mings amwaga wino kuendelea kukipiga Aston Villa

Tyrone Mings Mlinzi wa Aston Villa, Tyrone Mings

Sat, 18 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Aston Villa, Tyrone Mings amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Mlinzi wa Aston Villa, Tyrone Mings amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Mkataba wa awali wa Mings (29) raia wa England ulikuwa umalizike baada ya miezi 18 lakini sasa amesaini nyongeza ambayo muda wake haujawekwa wazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live