Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Milan waweka rekodi yao UEFA, waanza bila mchezaji mzawa

Fbl Eur C1 Psg Ac Milan 2 Min Milan waweka rekodi yao UEFA, waanza bila mchezaji mzawa

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mara ya kwanza katika historia, AC Milan waliingia uwanjani juzi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa bila mchezaji hata mmoja wa Kiitaliano katika kikosi cha kwanza

Maignan (Ufaransa)

Theo Hernandez (Ufaransa)

Thiaw (Ujerumani)

Tomori (Canada/England)

Kalulu (Ufaransa)

Musah (Marekani)

Krunic (Bosnia and Herzegovina)

Reijders (Uholanzi)

Leão (Uholanzi)

Giroud (Ufaransa)

Pulisic (Marekani)

Kwenye game hiyo Milan alipigwa bao 3-0 na PSG

Chanzo: www.tanzaniaweb.live