Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Milan wapanga kumtema Zlatan Ibrahimovich

Zlatan Ibrahimovic Zlatan Ibrahimovi?

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya AC Milan haina mpango wa kumpa mkataba mpya mshambuliaji wa Sweden mwenye umri wa miaka 41 Zlatan Ibrahimovic.

Klabu ya AC Milan haina mpango wa kumpa mkataba mpya mshambuliaji wa Sweden mwenye umri wa miaka 41 Zlatan Ibrahimovic. Zlatan alijiunga na Milan Januari 2020 akitokea Marekani na kuisaidia Klabu hiyo kubeba ubingwa wa kwanza baada ya miaka 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live