Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mikel Obi amshauri Victor Osimhen kujiunga na Chelsea

Victor Osimhen.jpeg Mikel Obi amshauri Victor Osimhen kujiunga na Chelsea

Sat, 11 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Mikel Obi amemshauri Victor Osimhen kujiunga na Chelsea endapo atamalizana na Napoli kama ambavyo imekuwa ikizungumzwa.

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Mikel Obi amemshauri Victor Osimhen kujiunga na Chelsea endapo atamalizana na Napoli kama ambavyo imekuwa ikizungumzwa. “Osimhen ni mchezaji mzuri ,ana utu na ndivyo Didier Drogba alivyokuwa,nikikaa na Victor nitamwambia kuwa ,amekaribia kiwango cha Didier na ushauri wangu kwake ni kujiunga na Chelsea."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live