Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgunda kurejea Coastal Union

Juma Mgunda Sababu.jpeg Mgunda kurejea Coastal Union

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Coastal Union ipo kwenye hatua za mwisho za kumrejesha Kocha Bora wa mwezi May wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Juma Mgunda kwaajili ya kuiongoza Klabu hiyo kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Klabu ya Coastal Union ipo kwenye hatua za mwisho za kumrejesha Kocha Bora wa mwezi May wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Juma Mgunda kwaajili ya kuiongoza Klabu hiyo kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa Kocha Mgunda tayari ameshaaga ndani ya Klabu ya Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live