Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgunda atua Ihefu FC

Ismail Mgunda Ft.jpeg Ismail Mgunda

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mshambuliaji wa kikosi cha Tanzania Prison, Ismail Mgunda amejiunga na klabu ya Ihefu ya Mbarali Jijini Mbeya.

Aliyekuwa Mshambuliaji wa kikosi cha Tanzania Prison, Ismail Mgunda amejiunga na klabu ya Ihefu ya Mbarali Jijini Mbeya. Mgunda anaenda kuvaa Jezi ya Obrey Chirwa aliyejiunga na klabu ya Kagera Sugarya Mkoani Kagera.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live