Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgunda: Tutashinda mpa amechi ya mwisho

Mgunda X Kibu Kocha Mgunda na Kibu.

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maneno ya Kocha mkuu wa Simba SC Juma Mgunda baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa jana dhidi ya Tabora United ambao Simba waliibuka na usihindi wa bao 2-0.

“Tumepata alama 3 na magoli 2 , nawashukuru wachezaji wangu kwq jitihada walisozionesha lakini cha pili nawashukuru wakiokuja kutusapoti.

“Tunajiandaa na mechi nyingine hii tayari imeisha ,sisi tutashindana haiwi mwisho mpaka ifike mechi ya mwisho , sisi tutaendelea kushindana kuhakikisha tunapata matokeo mazuri mwishoni ndio tuangalie sasa nani ni nani na kipi ni kipi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live