Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgunda, Lusajo wafunga msimu kwa tuzo

Juma Mgunda Sababu.jpeg Mgunda, Lusajo wafunga msimu kwa tuzo

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.

Amewashinda wafuatao :

1. Reliants Lusajo (5) ☑️

2. Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)

3. Feisal Salum - ⚽ (5)

Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.

Juma Mgunda mwezi Mei

◉ 7 - Mechi.

◉ 6 - Kushinda.

◉ 1 - Sare.

Miguel Gamondi mwezi Mei :

◉ 6 - Mechi.

◉ 6 - Kushinda.

◉ 0 - Sare.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live