Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgunda Kocha bora Mwezi Novemba

Mgunda Kocha wa Simba, Juma Mgunda

Thu, 8 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Novemba wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2022/23 akiwashinda Hans Pluijm wa Singida Big Stars na Mecky Maxime wa Kagera Sugar alioingia nao fainali.

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Novemba wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2022/23 akiwashinda Hans Pluijm wa Singida Big Stars na Mecky Maxime wa Kagera Sugar alioingia nao fainali. Katika mwezi huo Simba iliifunga Ihefu bao 1-0, ikailaza Ruvu Shooting mabao 0-4, iliilaza Polisi Tanzania mabao 1-3, ikatoka sare ya bao moja na timu za Singida Big Stars na Mbeya City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live