Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Metacha atua Singida Ihefu

Wqd Metacha Metacha atua Singida Ihefu

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Metacha Mnata amejiunga na Singida Black Stars (Ihefu) FC kama mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga Sc kutamatika.

Metacha amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Singida Black Stars.

Aboubakar Khomeini kutoka Singida Black Stars FC amesaini miaka miwili na Young Africans SC.

Jina: Metacha Mnata Kuzaliwa: 25 November 1998 Umri: Miaka 25 Nafasi: Golikipa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live