Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Metacha Mnata asajiliwa Yanga kuchukua nafasi ya Mshery

Metacha Mnatta Yanga Metacha Mnata

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC imemsajili kwa mkopo Golikipa wao wa zamani Metacha Mnata akitokea Singida Big Stars.

Metacha ataitumikia miamba hiyo ya Jangwani mpaka mwishoni mwa msimu kutokana na kuwa Golikipa namba mbili Abou Msheri ni majeruhi na atakuwa nje kwa muda kidogo.

Metacha aliwahi kukipiga Yanga kabla ya kuachana nao na kutimkia Polisi Tanzania mwaka 2021.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live