Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mesut Ozil afanyiwa upasuaji

WhatsApp Image 2022 10 05 At 10.jpeg Mesut Ozil

Wed, 5 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Arsenal, Mesut Ozil ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji wa mgongo kwa mafanikio, lakini atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu.

Kwa sasa Ozil anachezea klabu ya Istanbul Basaksehir ya Uturuki lakini ameweza kucheza mechi tatu pekee kutokana na masuala ya utimamu wa mwili wake.

Kwa jumla, amekosa mechi 31 katika kipindi cha miaka minne iliyopita kutokana na matatizo ya hayo ya mgongo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live