Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi na rekodi mbaya dhidi ya Brazil

Messi Vs Bfrazil Messi na rekodi mbaya dhidi ya Brazil

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Leonel Messi ndiye mfungaji bora wa muda wote kwenye michuano ya kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Dunia kwa upande wa America Kusini.

Leonel Messi ndiye mfungaji bora wa muda wote kwenye michuano ya kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Dunia kwa upande wa America Kusini. Amezifunga timu zote isipokuwa timu ya Taifa ya Brazil. Messi hajawahi kuifunga Brazil katika michezo hii ya kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia.

Chanzo: Mwanaspoti