Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi kumrudisha Neymar Barcelona

Messi  X Neymar Messi kumrudisha Neymar Barcelona

Thu, 8 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kumkosa Lionel Messi alieamua kutimkia Marekani, Barcelona wanafikiria kumrejesha Neymar Jr klabuni hapo.

Messi amehusishwa kutimkia MLS ligi ya Marekani. Pia imeelezwa kuwa Neymar yupo tayari kupunguza kiasi cha mshahara wake ili kurejea Barcelona.

Neymar aliwahi kukipiga Barcelona sambamba na Lionel Messi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live