Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi kumaliza mwaka 2023 bila bao la Penati?

Lionel Messi Vs Parag Lionel Messi

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tangu mwaka 2006 , mshambuliaji wa Inter Miami na timu ya Taifa ya Argentina Leo Messi hajawahi kupitisha mwaka bila kupiga penati lakini mwaka huu (2023) umekuwa wa tofauti kwake kwani hadi kufikia leo Disemba 6 hajapiga penati tangu mwezi Januar.

Tangu mwaka 2006 , mshambuliaji wa Inter Miami na timu ya Taifa ya Argentina Leo Messi hajawahi kupitisha mwaka bila kupiga penati lakini mwaka huu (2023) umekuwa wa tofauti kwake kwani hadi kufikia leo Disemba 6 hajapiga penati tangu mwezi Januar. Je atamaliza mwaka 2023 bila bao lolote la mkwaju wa Penati?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live