Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi humwambii kitu kwa Barcelona

Messi Humwambii Kitu Kwa Barcelona Messi humwambii kitu kwa Barcelona

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji maarufu duniani Leonel Messi amewashangaza wadau wengi wa mpira baada ya kuona mchezaji huyo bado ana ‘tattoo’ ya nembo ya ‘klabu’ ya Barcelona.

Mchezaji maarufu duniani Leonel Messi amewashangaza wadau wengi wa mpira baada ya kuona mchezaji huyo bado ana ‘tattoo’ ya nembo ya ‘klabu’ ya Barcelona. Ambapo baadhi ya mashabiki wake wakieleza kuwa ‘timu’ hiyo ilimfanyia mema na hatokuja kuisahau katika maisha yake maana ndiyo ‘klabu’ iliyofanya jina lake liweze kukua na kutambulika duniani kote huku baadhi yao wakiamini kuwa siku moja Messi anaweza kurudi klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live