Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi humlipa kinyozi wake Milioni 40 kwa mnyoo

Messi X Kinyozi Messi humlipa kinyozi wake Milioni 40 kwa mnyoo

Sun, 27 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Lionel Messi ni mmoja wa wanasoka tajiri zaidi duniani na amekuwa miongoni mwa vinara kwa zaidi ya muongo mmoja kwa mujibu wa jarida la Forbes.

Utajiri huu wa Messi unamruhusu kutumia pesa kwa chochote anachotaka. Ukiachana na kutumia pesa kununua vitu vya kawaida kama vile gari au nguo za bei ghali.

Messi ameripotiwa kumlipa kinyozi wake wa nywele mshahara wa dola 16 000 (≈ Tsh milioni 40) kwa Mnyoo mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live