Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi ashinda Ballon d'Or 2023 kimya kimya bila kutangazwa

Messi Ballondd Messi ashinda Ballon d'Or 2023 kimya kimya bila kutangazwa

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Argentina na Klabu ya Inter Miami, Lionel Messi tayari ametawazwa kuwa mshindi tuzo ya Ballon d'Or 2023, licha ya kutotangazwa.

Kwa mujibu wa ukurasa wa Michezo Goalglobal Messi atatangazwa kama mchezaji Bora wa Dunia baada ya kuiwezesha Argentina kutwaa Kombe la Dunia huko Qatar 2022.

Tayari nyota huyo ameshinda tuzo hiyo ya Dhahabu mara saba. Messi anakuwa mchezaji wa kwanza kushinda mara nyingi tuzo hiyo.

Messi pia atakuwa mchezaji wa kwanza kupokea tuzo hiyo akiwa anacheza soka lake nje ya Ulaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live