Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi aongoza kwa umaarufu Marekani, amfunika Michael Jordan

Michael Jordan Messi Messi aongoza kwa umaarufu Marekani, amfunika Michael Jordan

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Lionel Messi anatajwa kumzidi Michael Jordan kama mchezaji maarufu zaidi nchini Marekani kwa sasa, Na hii ni kwa mujibu wa kura za maoni zilizofanywa na ''SQL Server Reporting Services (SSRS)'' taasisi ambayo imejikita kwenye kuwafahamu mashabiki na kile wanachokipenda na imekuwa ikifanya kazi hiyo tangu mwaka 1995.

Umaarufu wa Messi kwa nchini Marekani unakuja baada ya mchezaji huyo kuhamia kwenye klabu ya Inter-miami mwezi juni, 2023 na kubwa zaidi kuifanikisha timu yake ya taifa kutwaa kombe la Dunia mwaka 2022

Kwa nchini Marekani Lionel Messi anaandika historia ya kipekee ya kuwa ndiye mchezaji mpira wa kwanza kuongoza kwenye kura hizo za mashabiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live