Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi anaimbwa Camp Nou kila dakika ya 10 ya mchezo

Lionel Messi Fans Messi anaimbwa Camp Nou kila dakika ya 10 ya mchezo

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jina la Lionel Messi linaimbwa na mashabiki wa Barcelona kila ikifika Dakika ya 10 kwenye mechi zao.

Jana ilikuwa muendelezo wa utamaduni huo ulioanza hivi karibuni kushinikiza nyota huyo arudi Catalunya.

Messi kwa sasa anakipiga katika klabu ya PSG, na mkataba wake unaelekea ukiongoni huku PSG pia wakitajwa kutaka kuachana naye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live