Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi amu-unfollow Garnacho kisa Ronaldo

Garnacho X Messi X Ronaldo Messi amu-unfollow Garnacho kisa Ronaldo

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Rio Ferdinand ameambiwa na Alejandro Garnacho kuwa Messi amemu "Unfollow" kwasababu ameshindwa kuficha mahaba yake na Ronaldo.

Awali taarifa zilisema kuwa nyota huyo alipongezwa na wachezaji wenzake wote wa Argentina baada ya kufunga bao bora dhidi ya Everton lakini Messi pekee hakufanya hivyo.

Ikumbukwe Lionel Messi na Alejandro Garnacho wanacheza timu moja ya Taifa, sasa itakuwaje wakikutana huko kwenye majukumu ya timu ya Taifa ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live