Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi amtaka Modric Inter Miami

Messi Vs Modric.jpeg Messi amtaka Modric Inter Miami

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Argentina na Inter Miami, Lionel Messi ameitaka klabu yake ya Inter Miami kumsajili kiungo fundi wa Real Madrid Luka Modric mwakani 2024.

Staa wa Argentina na Inter Miami, Lionel Messi ameitaka klabu yake ya Inter Miami kumsajili kiungo fundi wa Real Madrid Luka Modric mwakani 2024. Pia klabu ya Florida Kusini tayari imewasilisha ofa kwa kiungo huyo wa Croatia..

Chanzo: www.tanzaniaweb.live