Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi amfikia Dani Alves rekodi ya mataji

Messi And Alves Lionel Messi na Dani Alves wote wana mataji 43 katika Career zao

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Lionel Messi amefikia rekodi ya Dani Alves kama mchezaji mwenye mataji mengi zaidi katika historia ya soka.

Wachezaji wenye mataji mengi kwenye historia ya Soka;

Lionel MESSI: 43 Dani ALVES: 43

Messi amefikia rekodi hiyo baada ha kuiongoza PSG kutwaa ubingwa wa Ligue 1 huku akifunga bao lililoipatia PSG alama moja katika sare ya 1-1 dhidi ya Strasbourg.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live