Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi akubali Mkataba mpya PSG

Lionel Messi PSG Lionel Messi

Thu, 22 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi amekubali kusaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia PSG kwa mwaka mmoja zaidi mpaka 2024.

Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi amekubali kusaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia PSG kwa mwaka mmoja zaidi mpaka 2024. Messi alihusishwa na kutimkia Marekani baada ya Inter Miami kuonesha nia ya kutaka saini yake lakini mshindi huyo wa kombe la Dunia amegoma na anataka kusalia Jijini Paris.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live