Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi aiandikia Rekodi Inter Miami

Messi La Pulgafger Lionel Messi

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Toka Lionel Messi ajiunge na Inter Miami ya nchini Marekani, kwa mara ya kwanza kwenye historia ya klabu hiyo imeshinda michezo 5 mfululizo.

Messi alijiunga na Miami akitokea PSG baada ya kumalizika kwa Mkataba wake.

Messi amekuwa mfungaji wa magoli muhimu kwa Klabu hiyo inayomilikiwa na David Beckham.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live