Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi ahamia Inter Miami na Kijiji

Messi With Beckham Messi ahamia Inter Miami na Kijiji

Fri, 9 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku moja Baada ya mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi kutangaza kuwa atajiunga na klabu ya Inter Miami inayomilikiwa na nyota wa zamani wa Manchester United na England, David Beckham, klabu hiyo imeongeza mashabiki zaidi ya mara 5 ya ilivyokuwa kabla ya ya mshindi huyo mara 7 wa Ballon d'or kutangaza kutimkia Marekeni.

Siku moja Baada ya mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi kutangaza kuwa atajiunga na klabu ya Inter Miami inayomilikiwa na nyota wa zamani wa Manchester United na England, David Beckham, klabu hiyo imeongeza mashabiki zaidi ya mara 5 ya ilivyokuwa kabla ya ya mshindi huyo mara 7 wa Ballon d'or kutangaza kutimkia Marekeni. Kabla ya Messi kutangaza kuwa atajiunga na Inter Miami klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya MLS ilikuwa na takribani mashabiki milioni moja lakini mpaka sasa mashabiki wameongezeka maradufu na kufikia zaidi ya milioni 5.5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live