Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi: Sidaiwi kitu katika Soka

Lionel Messi Inter Miami Press Conference 081723 Lionel Messi

Wed, 23 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Inter Miami raia wa Argentina Lionel Messi amesema kwa sasa hachezi soka akiwa na kiu ya kushinda mataji.

Messi amesema tayari ameshashinda kila kitu ambacho mwanasoka anakihitaji katika maisha yake ya Soka kuanzia ngazi ya Klabu mpaka Timu ya Taifa.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Messi anasema;

“Hakuna ninachodaiwa katika mpira wa miguu, nimemaliza kila kitu. Kwa Sasa nacheza Kama kujifuraisha tu"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live