Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi: Ipo siku Mbappe, Haaland watashinda Ballon D'or

Messi X Mbappe Haalnd Messi: Ipo siku Mbappe, Haaland watashinda Ballon D'or

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kukamilika kwa zoezi la utoaji wa tuzo ya Ballon D’Or Lionel Messi amezungumza kuhusu Haaland na Mbappe ambao walitajwa kama namba [2&3]

“Ipo siku Erling Haaland na Kylian Mbappé na wao watashinda Ballon d’Or”

“Erling alistahili hii tuzo ameshinda ubingwa wa Ligi ,UEFA lakini pia amefunga magoli mengi sana nina imani hii tuzo ipo siku itaenda kwake pia “

Vijana pichani ndio ambao wanaambiwa wawe na subira ipo siku na wao watashinda !

Chanzo: www.tanzaniaweb.live