Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi, Haaland wamchanganya Pep mshindi wa Ballon D'or

Messi X Pep X Haaland Messi, Haaland wamchanganya Pep mshindi wa Ballon D'or

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtazamo wa kocha wa Manchester City Pep Guardiola juu ya nani ashinde Ballon D’Or alipohojiwa na SkySports baada ya mechi ya jana .

“Wapo wanaosema kama Messi atashinda Ballon d'Or, hii itakuwa sio haki kwake na anapaswa kupewa Haaland ! hapana hii si kweli bali itakuwa sio haki kwa Haaland”

“Na kama Haaland atashinda, wapo watakaosema haifai kwenda kwake ! hii pia sio sawa , Wote wawili wanastahili tuzo hiyo “

Umemuelewa Pep ____?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live