Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mendy akutwa hana hatia kesi ya Ubakaji

Benjamin Mendy H Mendy akutwa hana hatia kesi ya Ubakaji

Wed, 14 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia kwenye kesi ya ubakaji wa binti wa miaka 19, Mfaransa huyo alituhumiwa kutenda kosa hilo katika jumba lake la kifahari huko Cheshire mnamo Julai 24 mwaka jana.

Mahakama ilimuondolea shtaka hilo kwa amri ya hakimu katika Mahakama ya Chester baada ya upande wa mashtaka kutotoa ushahidi zaidi.

Jumanne Jaji Stephen Everett aliamuru mahakama kuwaondolea washtakiwa makosa hayo baada ya upande wa mashtaka kutotoa ushahidi zaidi na mashtaka rasmi ya kutokuwa na hatia kuingizwa.

Rafiki yake Louis Saha Matturie, 41, pia alikutwa hana hatia kwa maelekezo ya hakimu wa makosa mawili ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanamke huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live