Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Melis Medo aibukia Kagera Sugar

Medo Melis Medo

Thu, 20 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Kagera Sugar iko katika mazungumzo na aliyekuwa Kocha wa Dodoma Jiji Mmarekani, Melis Medo kwa ajili ya msimu ujao.

Klabu ya Kagera Sugar iko katika mazungumzo na aliyekuwa Kocha wa Dodoma Jiji Mmarekani, Melis Medo kwa ajili ya msimu ujao. Kocha huyo wa zamani wa Coastal Union, kwa sasa yupo nchini baada ya kuondoka Dubai ambapo inaelezwa anaweza kujiunga na Kagera Sugar ambayo inatajwa huenda ikaachana na Kocha, Fredy Felix ‘Minziro’ anayewindwa na kikosi cha Geita Gold.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live