Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Medeama yawaita Mashabiki kuja kushuhudia kifo cha Yanga

Medeama Kosii Medeama yawaita Mashabiki kuja kushuhudia kifo cha Yanga

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Medeama wanatamani hata robo ya walichofanya Mashabiki wa Yanga dhidi ya Al Ahly yaani kujaa uwanjani.

Mkurugenzi wa idara ya habari Patric Akoto amewalilia mashabiki wajae kwa Yanga uwanjani Ijumaa katika dimba la Baba Yara kuwaunga mkono.

Amesema wameweka kiingilio kuanzia 2000 ,4000 na 20000 katika madaraja matatu ili watu wajae

Baba yara ndipo Cr Belouizdad alopozikwa futi 6 na wajanja wa Ghana.

Yanga wana uzoefu sasa wa kutosha kucheza ugenini waliweza kuwafunga Usm Alger katika fainali kwao mbele ya mashabiki vichaa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live