Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Medeama, Yanga hakuna mbabe Dakika 45 za Kwanza

Medeama Vs Yanga Now Medeama, Yanga hakuna mbabe Dakika 45 za Kwanza

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameisawazishia timu hiyo bao dakika ya 36 kwa mkwaju mkali baada ya kuupokonya mpira kwa Medeama.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameisawazishia timu hiyo bao dakika ya 36 kwa mkwaju mkali baada ya kuupokonya mpira kwa Medeama. Bao la kuongoza la wenyeji Medeama limefungwa kwa mkwaju wa Penati na Jonathan Sowah

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: