Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mecky Mexime aibukia Ihefu

Mecky Mexime Ihefu Mecky Mexime aibukia Ihefu

Thu, 28 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku 5 baada ya klabu ya Kagera Sugar kuachana na Kocha Mecky Mexime, klabu ya Ihefu yenye maskani yake Mbarali mkoani Mbeya imemtambulisha kocha huyo kuinoa timu hiyo.

Siku 5 baada ya klabu ya Kagera Sugar kuachana na Kocha Mecky Mexime, klabu ya Ihefu yenye maskani yake Mbarali mkoani Mbeya imemtambulisha kocha huyo kuinoa timu hiyo. Ihefu inashika nafasi ya 13 katika msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 13 ikishinda mechi 3, sare 4 na kufungwa 7.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: