Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mecky Mexime aanza na ushindi Kagera Sugar

Kagera Vs KMC Win FT, Kagera 1-0 KMC

Tue, 1 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Anuary Jabir dakika ya 76 limetosha kuipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi 11 na kusogea nafasi ya 11, wakati KMC inabaki na pointi zake 13 nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 10.

Kagera Sugar kwa sasa ipo chini ya Kocha mpya Mecky Mexime baada ya kuachana na Francis Baraza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live