Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mecky Mexime: Tofauti yangu na Benchikha ni majina, weupe na kuva kofia

Kocha Wa Kagera Sugar Mecky Maxime X Simba Kocha mkuu wa kikosi cha Kagera Sugar Mexime

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha Kagera Sugar Mexime amesema kesho watakuwa na mchezo mzuri dhidi ya Simba kwenye dimba la uhuru kwasababu kimbinu na kiuwezo analingana na kocha wa Simba.

Mexime amesema kocha wa Simba anachomzidi yeye ni weupe, na kuvaa kofia tu lakini mambo mengine wanafanana.

Simba wanatarajiwa kuingia katika mchezo huo na hasira baada ya kushindwa kupata matokeo katika michezo yao miwili ya Ligi iliyopita.

Simba watakuwa wenyeji wa Kagera Sugar Kesho Disemba 15 Uwanja wa Uhuru mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live