Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mecky Maxime Kocha bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC

Mecky Maxime Best Coach Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime, amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Februari Ligi Kuu ya NBC 2022/23.

Mecky anachukua Tuzo hiyo akiwapiku Nasreddine Nabi wa Yanga na Kocha Fikirini Elias wa Coastal Union.

Kwa mwezi Februari Kagera Sugar imecheza michezo mitatu, ikishinda miwili dhidi ya Namungo (1-0), na Ruvu Shooting (1-0) huku ikitoka sare na Polisi Tanzania na kufanikiwa kukusanya alama saba kati ya tisa na kupanda kutoka nafasi ya saba katika msimamo wa Ligi Kuu NBC hadi nafasi ya sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live