Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mechi zote NBC Premier League kupigwa leo saa 10

Yanga Vs Simba 20 April Mechi zote NBC Premier League kupigwa leo saa 10

Sat, 25 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu Tanzania bara mechi zote (8) za mwisho round ya (30) zitachezwa katika muda mmoja.

Lakini kutokana na viashiria vya upangaji wa matokeo kufuatia ushindani mkubwa wa nafasi ya pili (2), timu zinazopigania kukwepa kushuka daraja na play-off (TFF) imeamua kuwa mechi zote (8) za round ya (29) pia zitachezwa katika muda mmoja.

Mechi hizo zitachezwa kesho Jumamosi 25 May 2024 majira ya saa 10:00 Jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live