Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mechi za Kimataifa utani unatakiwa kukaa pembeni - Arafat

Mechi Za Kimataifa Utani Utanakiwa Kukaa Pembeni   Arafat Mechi za Kimataifa utani unatakiwa kukaa pembeni - Arafat

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji amesema, kwenye mechi za Kimataifa, utani wa Simba na Yanga unapaswa kuwekwa kando.

“Watu wanaofuatilia mpira wa miguu na kufuatilia derby ya Tanzania pengine na wao wanatamani kuona derby ya Tanzania inacheza fainali ya Champions League “

“Tunatamani kuweka historia ya kulibeba kombe kwa timu ya hapa nyumbani ,uzuri tunapokwenda kwenye mambo ya kimataifa utani unatakiwa kukaa pembeni”

“Utani ni urithi wetu na ndio maana msimu huu tumekuja na huo msemo wa utani uwe na faida kwetu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live