Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mechi ya Yanga vs Mlandege yaota mbawa

Yanga Match Post Poned Mechi ya Yanga vs Mlandege yaota mbawa

Sat, 21 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Kirafiki kati ya Yanga na Mlandege uliopangwa kuchezwa leo saa 03:30 asubuhi huko Avic Town umeahirishwa.

Mchezo wa Kirafiki kati ya Yanga na Mlandege uliopangwa kuchezwa leo saa 03:30 asubuhi huko Avic Town umeahirishwa. Kwa mujibu wa taarifa Yanga waliomba mchezo huo wa kirafiki lakini kutokana na ratiba ya Mlandege kubana wameamua kutocheza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: