Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele

Mopic Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele

Wed, 7 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Mechi kati ya Klabu ya Yanga na Simba iliyokuwa ichezwe Oktoba 18, 2020 imesogezwa mbele hadi Novemba 7 kutokana na uwezekano wa kuwepo kwa vikwazo vya usafiri kwa wachezaji wa Kimataifa kutokana na kalenda za FIFA – Taarifa ya Bodi ya Ligi Kuu imesema kutokana na janga la Corona Virus, nchi Duniani bado zimeweka masharti mbalimbali kuweza kudhibiti maambukizi.

Chanzo: millardayo.com