Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mechi ya Azam vs Gor Mahia yafutwa, sasa kujipima na JKU

Azam Vs Gor Mahia Cancelled Mechi ya Azam vs Gor Mahia yafutwa, sasa kujipima na JKU

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa kirafiki baina ya wenyeji, Gor Mahia na Azam FC uliopangwa kufanyika Jumapili Uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi nchini Kenya umefutwa.

Mchezo wa kirafiki baina ya wenyeji, Gor Mahia na Azam FC uliopangwa kufanyika Jumapili Uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi nchini Kenya umefutwa. Taarifa ya Azam FC imesema kwamba kutokana mchezo huo kufutwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao - sasa watacheza na JKU ya Zanzibar Jumapili Uwanja wa Azam Complex kuamzia Saa 1:00 usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live