Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mechi isiyosahaulika India ilipoichapa Nigeria mabao 99-1

India X Nigeria Mechi isiyosahaulika India ilipoichapa Nigeria mabao 99-1

Sat, 9 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Duniani kumekuwa na michezo ya aina nyingi sana ambayo yote huwa na mashabiki wake ambao mara nyingi wanakuwa na mapenzi ya dhati kwa timu zao hadi kufikia hatua ya kufanya chochote kwa ajili ya timu hizo pale zikifungwa ama kufunga.

Mara nyingi mashabiki huwaza matokeo mazuri kutoka kwa wachezaji wao na ndiyo maana ikitokea wakapoteza katika mchezo mashabiki hutokwa na maneno mengi ya kujitetea.

Katika mchezo wa mpira wa miguu kama unadhani si jambo rahisi kwa timu moja kumfunga mpinzani wake goli 20 au zaidi ndani ya dakika 90, inaelezwa kuwa mwaka 1950 India ilifanikiwa kuichapa Nigeria mabao 99 kwa moja kwenye FIFA World Cup, ambapo mara zote India ilikuwa ikishika mpira inafunga baokatika mcheo huo

Baada ya kufungwa mabao mengi Nigeria walifanikiwa kupata bao moja kufutia machozi lilofungwa na Samuel Okwaraji iliwafanya mashabiki wa Nigeria kuamka kwa shangwe wakishangilia bao hilo.

Kichapo hicho kilizua gumzo miaka hiyo na ndipo wachezaji kutoka Nigeria walidai kuwa kila walipokuwa wakipiga mpira uligeuka na kuwa simba, huku mchezaji huyo aliyefanikiwa kufunga ndiye alidai kwa upande wake aliuona mpira ukigeuka kuwa jiwe, hivyo walipatwa na hofu iliyofanya wafungwe mabao mengi kiasi hicho.

Kutokana na tuhuma hizo FIFA iliweza kuifungia India kucheza mpira wa miguu, kwa kosa la kugoma kuvaa viatu wakati wakiwa uwanjani na kwa kutumia mbinu zisizofaa katika mechi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live