Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mechi Championship kuendelea leo, hii ndio ratiba

Championship Mechi mbali mbali zitakazochezwa leo

Sat, 9 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Daraja la kwanza (Championship) itaendelea leo kwa michezo saba kupigwa katika viwanja tofauti.

Mechi hizo nza mzunguko wa pili zitaanza leo Oktoba 9, na mpaka sasa timu ya DTB ndio iliyopo kileleni mwa msimamo wa Ligi.

Amisi Tambwe ndio kinara wa kupasia nyavu akiwa ameshaweka kambani magoli manne baada ya bkucheza mchezo mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live