Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Mdaka risasi" wa Azam aanza na zali Ligi Kuu

Ali Ahmada "Mdaka risasi" wa Azam aanza na zali Ligi Kuu

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wake wa kwanza langoni kipa namba mbili wa Azam FC Ali Ahmada kashuhudia wakikomba poiñti tatu ugenini na mabao matatu mbele ya Mashujaa.

Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika umesoma Mashujaa 0-3 Azam FC.

Kipre Junior dakika ya 52, Gibril Sillah dakika ya 70 na Allasane Diao alimtungua kwa kipa wa Mashujaa akitumia pasi ya Feisal Salum dakika ya 73

Chanzo: www.tanzaniaweb.live