Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mcongo Pilato Fainali ya Pili ya Ligi ya Mabingwa

Jean Jacques Ndala Mwamuzi Jean Jacques Ndala

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), limemteua Mwamuzi Jean Jacques Ndala kutoka DRC, kusimamia mchezo wa mkondo wa pili wa Fainali ya klabu bingwa Afrika kati ya Al Ahly na Es Tunis.

Kwa upande wa VAR ataweza kusimamia mwamuzi Lahlou Benbraham kutoka nchini Algeria.

Mtanange huo wa mechi ya marudiano ya fainali CAF Champions League, unatarajia kupigwa nchini Misri Mei 25, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live