Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezo wa Kagera vs Simba huenda ukaota mbawa, wachezaji Simba wakumbwa na ugonjwa

SIMBA WAUGUA Kikosi cha Simba kikiwasili Kagera siku mbili zilizopita

Sat, 18 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa zinadai kwamba mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar na Simba huenda usichezwe baada ya nyota 13 kati ya 22 wa Simba walioenda Bukoba kuugua ghafla.

Taarifa zinadai kwamba mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar na Simba huenda usichezwe baada ya nyota 13 kati ya 22 wa Simba walioenda Bukoba kuugua ghafla. Endelea kuwa karibu na TanzaniaWeb.com kwa ajili ya taarifa zaidi kuhusiana na mchezo huo, hali kadhalika hali ya utimamu wa wachezaji wa Simba SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live