Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji wa zamani wa Yanga afariki Dunia

Abdul Maneno Kibavu Ews Abdul Maneno Kibavu.

Wed, 4 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa kikosi cha Yanga, Abdul Maneno Kibavu, amefariki dunia.

Mchezaji mwenzie wa zamani wa Yanga Idd Moshi ‘Mnyamwezi’, amethibitisha kufariki dunia kwa Kibavu ambaye alitamba na Yanga miaka ya 1990 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000.

Kibavu alijuwa na uwezo mkubwa wa kumiliki dimba la kati wakati huo akicheza. Mungu aiweke roho ya Marehemu Abdul Maneno Kibavu mahali pema,peponi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live